Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 648
- 1,121
Kule ni hatari mkuuMwamba anatupa target zaidi... Ila bandari na matanki ya mafuta na gesi tutayafikia kadri wanavokaza
Naomba msifike....
Mtaua millions of people
Kule ni hatari mkuuMwamba anatupa target zaidi... Ila bandari na matanki ya mafuta na gesi tutayafikia kadri wanavokaza
An'duli ni untouchableHuyo aliyetoa hiyo kauli wamemfanya nini?
Kuna watu wana kesi za uhaini kwa kosa la kuuza barakoa na kutangaza kuuza jeans siku ya uchaguzi ila anayesema atakata watu vichwa yupo uraiani anadunda tu.
Yes jamaa walau anajua ukweli wa kwanini watu wanaandamana, sio zile hoja za kulipwa sijui wakenya!!!Kaongea vizuri sana,kwa namna nyingine anamueleza Raisi kwa nini watanzania wameandamana,maana inaonyesha Samia haelewi
24 November 2025
RC ALBERT CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DSM ATUMA UJUMBE MZITO KWA WALIOSEMA WATAKATA WATU VICHWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=Gv-JhuTHmN4
mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inayokusanya wajumbe kutoka jeshi la polisi, uhamiaji, magereza, usalama wa taifa mkoa, magereza, JWTZ amezungumzia... hayo leo jijini Dar es Salaam