Chalamila atuma ujumbe mzito kwa waliosema watakata watu vichwa

Huyo aliyetoa hiyo kauli wamemfanya nini?

Kuna watu wana kesi za uhaini kwa kosa la kuuza barakoa na kutangaza kuuza jeans siku ya uchaguzi ila anayesema atakata watu vichwa yupo uraiani anadunda tu.
An'duli ni untouchable
 
Kaongea vizuri sana,kwa namna nyingine anamueleza Raisi kwa nini watanzania wameandamana,maana inaonyesha Samia haelewi
Yes jamaa walau anajua ukweli wa kwanini watu wanaandamana, sio zile hoja za kulipwa sijui wakenya!!!
 
Wameeshatekwa au nanyie mmeanza kukubali drama zao?

Kama hamjawaona wakitekwa jua huo ni mpango wao.

Ccm wanhapi wametia matamko na wako huru?
 
Chalamila ni Taahira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…