instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Watanzania hawapendi kusikia hayo...Ila tukubali mkuu Kagera Kama leo ukasema migomba wafyeke Yani pawe wazi , tutakutana na jiji jipya lililokua limejificha kwenye migomba,
Huko Migombani wajomba wamepiga vitu sio vya kitoto, ALAFU utakuta wanaishi wazazi , ndugu, na wakati mwingine mfanyakazi wahusika wopo Mikoa mingine wanapambana na Maisha,
Tuliendaga msiba mmoja sikumbuki ni Kijiji gani e BWANA unakutana na kitu katikati ya Migomba, unalinganisha na mtaa unapoishi mikoani, hupati jibu, hacha wajidai bwana makwao wanapatendea haki aisee
Wabongo wengi wanataka nchi zima tuwe level moja...hawapendi kusikia maendeleo ya mtu..
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app