Chalamila, badala ya kuzunguka Mkoa wa Kagera ukilalamika na kuzogoa, tafuta Suluhu, vinginevyo wapinzani unawapa njia, shirikiana ujue tatizo

Watanzania hawapendi kusikia hayo...

Wabongo wengi wanataka nchi zima tuwe level moja...hawapendi kusikia maendeleo ya mtu..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkoa wa Kagera ni (INVISIBLE CITY) Migombani watu wamefanya kufuru, hata Uchagani, Sasa sie makabila mengine unaenda vijijin kwetu, nyumba za bati ni za kuesabu , na ukipiga kitu Cha maana usipokua makini unapigwa chini,
 
Akili za kizuzu hizi zilizoviringishwa kwenye uzumbukuku pamoja na ujinga uliopakwa unafiki. Kwani wapinzani ni maadui wa nchi hii?
Wanapinga Kila kitu, unamletea maji ya Bomba, anaunga mpaka bafuni, lakini anaoga huku anapinga mradi wa maji
 
unamletea maji
Unamaanisha nn unaposema "unamletea maji?"
Hivi unadhani serikali inapotoa huduma kwa wananchi inafanya hisani na inapaswa kunyenyekewa kwa kufanya hivo?

Hizo ni kodi zetu. Wapinzani wanapinga kwasabb wananchi tulipaswa kupata huduma bora zaidi hizi.

Amka ndugu acha kubiruzwa
 
Mkoa wa Kagera ni (INVISIBLE CITY) Migombani watu wamefanya kufuru, hata Uchagani, Sasa sie makabila mengine unaenda vijijin kwetu, nyumba za bati ni za kuesabu , na ukipiga kitu Cha maana usipokua makini unapigwa chini,
Kule bush kwetu kuna mjengo wa bati na tofali za kuchoma wa kufa mtu.
Toka niko mdogo mpk nakua m dingi nazeeka sijawai kuona mtu kakanyaga pale zaidi ya makaburi.
Niliuliza wakasema humo kuna wenyewe usiku tu.
Gusa uondoke.
 
Kakiba mbovu labda kuwe na magavana wa mikoa wanochavuliwa na wananchi
 
Kazi wanafanya na ndiyo maana maisha yao yanaendelea. Labda hawajali mambo ya Umma. Kagera wanajiendeleza kibinafsi. Utakuta mtu kajenga bonge la nyumba migombani lakini hakuna barabara ya maana inayokwenda huko.
Nilichogundua watu hawaijui Kagera, serikali ya Kagera ni maskini, watu wa Kagera ni matajiri, hawana viwanda vikubwa, hakuna barabara nzuri, hakuna stendi, mapato ki mkoa yako chini sana, nk lakini watu wana maisha mazuri sana, vijijini vizuri mno kuna nyumba nzuri mno tena mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…