Chalamila, CCM, wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho

Chalamila, CCM, wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Chalamila, na wengine wowote wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho.

Hiki ni kizazi kipya, ni tofauti sana na sisi.
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
 
Kizazi kipya cha mavi, fanyeni kazi, nendeni mkalime huko mapori yamejaa MSIJE MKAPELEKA MISIBA MAKWENU
 
Kizazi kipya cha mavi, fanyeni kazi, nendeni mkalime huko mapori yamejaa MSIJE MKAPELEKA MISIBA MAKWENU
Mbona watoto wa viongozi hawaendi kulima, ama wao hawajui hayo mapori yalipo. Kawaonyeshe hayo mapori ili nao wakalime.
 
Mbona watoto wa viongozi hawaendi kulima, ama wao hawajui hayo mapori yalipo. Kawaonyeshe hayo mapori ili nao wakalime.
Mtoto wa sumaye ni mkulima, mtoto wa pinda ni mkulima

We maskini unakalia kuandamana, fala kabisa
 
Back
Top Bottom