MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Mbona watoto wa viongozi hawaendi kulima, ama wao hawajui hayo mapori yalipo. Kawaonyeshe hayo mapori ili nao wakalime.Kizazi kipya cha mavi, fanyeni kazi, nendeni mkalime huko mapori yamejaa MSIJE MKAPELEKA MISIBA MAKWENU
Mtoto wa sumaye ni mkulima, mtoto wa pinda ni mkulimaMbona watoto wa viongozi hawaendi kulima, ama wao hawajui hayo mapori yalipo. Kawaonyeshe hayo mapori ili nao wakalime.
Kauli ya bwana Rigath kashagua mzee wa koti kubwa
Sawa sisi maskini tutaandamana. Wewe tajiri kaa nyumbani ule rahaMtoto wa sumaye ni mkulima, mtoto wa pinda ni mkulima
We maskini unakalia kuandamana, fala kabisa
Hakuna tajiri anayekaa tuu, nipo kibaruani napambania future ya watoto na wajukuu zangu, sasa we kalia kuandamana uwe mboleaSawa sisi maskini tutaandamana. Wewe tajiri kaa nyumbani ule raha