Chalamila: Hakuna kitu ninachoogopa, Serikali haifanyi kazi kwa shinikizo

Chalamila: Hakuna kitu ninachoogopa, Serikali haifanyi kazi kwa shinikizo

Sema bongo tunaongozwa na vilaza sana,badala ya kutatua tatizo analeta taarabu,shida sana hawa wateule kupata teuzi wakati ni incompetent
"Changamoto kubwa zaidi iliyopo katika ulimwengu wa Sasa ni kwamba Watu wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na Siasa, hivyo kuwapa mamlaka watu wasiokuwa na akili ya kuwatawala Watu wenye akili na watu wasiokuwa na akili."

Donald Trump,
 
Yeye anasema kwamba anazungumza tena kwa kujiamini , kwani wanaogoma wao hawajiamini?, aache watu watete haki zao, kuna muda serikali itatenda hata kwa shinikizo maana watu wakisema kwa amani tu wanachukuliwa poa.... My country🇯🇲
 
Huyu ametumwa au kajituma, awe makini wasije wakamvingirasha akarudi tena tumaini pale kupiga lecture.
 
Chalamila awe makini na kauli zake ili zimlinde mbele ya safari. Nadhani amesikia kilichoamriwa Dodoma na mabosi zake. Yeye amechagua kuwatisha wafanyabiashara, mabosi zake wameamua kukaa meza moja na wafanyabiashara kwa sababu walikuwa na hoja na wamemaliza kikao bila vitisho vya jeshi kama alivyotaka yeye na wamekubaliana mambo yote ya msingi.
 
Back
Top Bottom