The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kama ingelikuwa ni kuweka wazi hisia za watu, if am asked to put clear all the sentiments ambazo zipo katika vinywa vya watu, yafuatayo ningeweza pia kuyasema, la kwanza, Mnakumbuka Rais wa sasa wa serikali ya Marekani, President Trump akiwa kwenye mlolongo wa kampeni zake aliwahi pia kupata shambulio la kupigwa risasi. "
"Wale wote wanaotoa mashambulio, niweke 'clear' ni kwamba huwa hawabagui, hawaangalii huyu ni mwandishi wa habari, huyu ni mkuu wa mkoa, huyu ni padre, huyu ni mchungaji, huyu ni askofu huyu ni dereva, wao huwa hawaangalii, bali wanapofanya tukio la uhalifu wanafanya na kuona 'all people are equal'
Kwa mantiki hiyo watanzania waote wanapojudge jambo hili lililotokea ni muda muafaka wa kuwa very rational, na ni muda muafaka wa kutulia kwa sababu tukiruhusu kila mmoja akasema inaweza ikafika hatua ya kuvuruga mlolongo wa kiuchunguzi na hata baadae mlolongo wa kiushahidi unaoweza kuwa na msaada mkubwa tunapoelea tukio hili.
Pia soma

- Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
- Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji