Chalamila: Hatuwezi kumtaja Mbowe kwa Maendeleo, tutamtaja Rais

Kama tunavyoona huko Hai jimboni kwa chairman.
Huo ni mporomoko mkubwa kwa mwenyekiti wetu.View attachment 2945336
Ndo maana hatujaona picha leo kutoka kwa jamaa yetu humu. Nilishangaa kwanini hakuna uzi na picha murua a.k.a maridhawa kutoka eneo la tukio kama kawaida yake, kumbe nivkwa sababu ya hiyo hali.
 
Chalamila akili nyingi sana huyu, anajua namna ya kuaakeda nyumbu!! Kimsingi kupambana na nyumbu hata hauhitajiki kutumia akili kuuuuubwa, kidogo tu basi!
 
Ndo maana hatujaona picha leo kutoka kwa jamaa yetu humu. Nilishangaa kwanini hakuna uzi na picha murua a.k.a maridhawa kutoka eneo la tukio kama kawaida yake, kumbe nivkwa sababu ya hiyo hali.
 
Huyu ni sawa na Kibuyu
 
Mbowe angekuwa amejenga angalau hata ofisi ndogo ya makao makuu ya chama basi na yeye tungemtaja kwa kutuletea maendeleo. Lakini jamaa kwenye uenyekiti miaka 20+ bila hata kiwanja tu; sasa tumtaje ili iweje?
Ukoo wake unamsifia kwa kuwatunza na kuwajengea.Wewe endelea kulamba nyayo za wenzio.
 
Ukoo wake unamsifia kwa kuwatunza na kuwajengea.Wewe endelea kulamba nyayo za wenzio.
Sasa wewe chawa hicho 🖕 ndo umeandika nini? Tunazungumzia maendeleo ya jamii, wewe unazungumzia ukoo wa mtu? Kama ni utajiri wa ukoo, mbona Mbowe family walishatoka tangu zamani tu? Umezaliwa miaka 90s nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…