Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema ikihitajika kuweka Vyombo vya Dola maeneo ya Kariakoo kwaajili ya kulinda biashara wakati mazungumzo ya Wafanyabiashara na Serikali yakiendelea atafanya hivyo

Amesema “Nataka niwaambie ukweli, Serikali haishindwi jambo, kama Serikali inatuma vikosi kwenda kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

Amesema hayo, leo Juni 24, 2024 baada ya Wafanyabiashara kufunga biashara zao kwa madai yao kuwa wamechoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…