Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ukimsikiliza akiwa ametulia huwezi amini kama ni mropokaji, Jana wakati anawasihi wafanyabiashara waendelee na kazi, alikuwa anaongea kwa utulivu mkubwa huku akionyesha jitihada walizochukua kama serikali. Sasa hivi tena naona amerudi kule kwenye tabia yake ya asiliChalamila hajaenda kutatua tatizo,amekwenda kuongeza tatizo
Unyumbu ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama uoga kwa viongozi wao pia kutumikia kundi fulani, (human herding), human herding is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and fear 😨 of their leadersMadhara ya kutoshirikisha ubongo na ulimi.v
Leo kavuta skanka.Huyu jamaa ukimsikiliza akiwa ametulia huwezi amini kama ni mropokaji, Jana wakati anawasihi wafanyabiashara waendelee na kazi, alikuwa anaongea kwa utulivu mkubwa huku akionyesha jitihada walizochukua kama serikali. Sasa hivi tena naona amerudi kule kwenye tabia yake ya asili
Bora angekaa kimya tuHuyu Chalamila ndiyo anazidi kuchochea huu mgomo kwa maneno yake ya kishenzi.
Kwani ile modeli ya kichwa chake unaionaje mkuu,yule ametindikiwa kabisaWakati mwingine unajiuliza hivi hawa viongozi wetu wana mitindio wa ubongo au......View attachment 3024766
Samia amebugi kweli kweli kwa uteuzi huuMoja kati ya vio gozi wa hovyo anaendeshwa na mihemko
Hahahaaha!!!!Kwani ile modeli ya kichwa chake unaionaje mkuu,yule ametindikiwa kabisa
Anaugua usonjiHahahaaha!!!!
Inawezekana akawa mgonjwa Yule.....
Mheshimiwa nasikia unaitwa pimbi, hiyo ya kwamba serikali itatuma vikosi Kariakoo kulinda amani,kama ilivyotuma Congo, ni akili ya kuku , to say the least.DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema ikihitajika kuweka Vyombo vya Dola maeneo ya Kariakoo kwaajili ya kulinda biashara wakati mazungumzo ya Wafanyabiashara na Serikali yakiendelea atafanya hivyo
Amesema “Nataka niwaambie ukweli, Serikali haishindwi jambo, kama Serikali inatuma vikosi kwenda kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?
Amesema hayo, leo Juni 24, 2024 baada ya Wafanyabiashara kufunga biashara zao kwa madai yao kuwa wamechoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Kwa hiyo kariakoo kuna mapigano? Mbwa huyo. Mifano ya kijinga kabosa na statement za kishenzi.DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema ikihitajika kuweka Vyombo vya Dola maeneo ya Kariakoo kwaajili ya kulinda biashara wakati mazungumzo ya Wafanyabiashara na Serikali yakiendelea atafanya hivyo
Amesema “Nataka niwaambie ukweli, Serikali haishindwi jambo, kama Serikali inatuma vikosi kwenda kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?
Amesema hayo, leo Juni 24, 2024 baada ya Wafanyabiashara kufunga biashara zao kwa madai yao kuwa wamechoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.