Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

Nafikiri huyu RC anatakiwa ajifanyie self-assessment kama anatosha kuongoza mkoa. Anaweza tu kurudi RUCU kuendelea na ufundishaji kule kuliko kukosa busara ya kuwasikiliza watu ambao wanasaidia kuingiza pato kubwa kwa mkoa na taifa. Sasa mbona Waziri hakutumia lugha ya kutumia majeshi. Hivi kwani jeshi letu halina mambo ya msingi hadi liende Kariakoo kushinikiza wafanyabiashara kuendelea kufungua maduka!! Very shameful
 
Yaan chalamila hadiserve kabisa kuendelea kua mkuu wa mkoa DSM maana kauli zake zina chonganisha wananchi na Selikari
 
Kwa hiyo anawafananisha raia na waasi wa Congo?
 
Kwani Kariakoo Kuna mapigano baina ya nani na nani?
 
Dah, viongozi wetu wengi ni VICHWA MPIRA, sasa kariakoo wanajeshi waje kupigana na nani, kwa viongozi VICHWA MAJI kama hawa mgumu kuendelea.
 
Watu kama Chalamila, hivi ni kwa nini wanapewa mamlaka? Sielewagi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…