Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

duh Uchaguzi tena, wala Katiba mpya sikubaliani nalo labda vipengele km Wasimamizi wa Uchaguzi , Matokeao ya Urais, lkn upya au Rais asiwe na Madaraka bado muda tujenge Nchi kwanza
Katika Uchaguzi unadhani Zitto au Lissu watamkaribia Mama
Wewe kutokukubali haimaanishi ni ajenda mbaya! You are nothing!
 
Bonge la point kaongea Mkuu, sema point ni ndefu ndefu zaidi ya kichwa na nywele zako, point imekupita juu fyaa kama ndege hivyo huwez elewa kilichomo.
Labda nikurahihisishie kuna neno "KATIBA MPYA" nalo hujaliona?
Kwa sababu limegusa ajenda ya Chama chako?
 
Jamaa anataka kusema Jiwe alilogwa nini? Mwaka umeanza kwa mwendo kasi kweli kweli.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani imebidi nicheke
 
Kuna baadhi ya maneno hayafai kutamkwa, hasa na mtu ambae alikuwa kiongozi. Kilogo kama kinaaminika watu si wangemalizana? Wangapi wewe ambao uwapendi na hauna cha kufanya, ingekuwa kilogo ni uhakika we binafsi ungetumia kufanikisha mambo yako! Sasa unapiga domo maana kuna mambo yanakukera!
 
Kwahiyo hata makamu aliyepo anaweza Roga ili awe,πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwa hiyo ndio kusema Raisi wa sasa alimrog@ mtangulizi wake au??
 
Kwa kauli hii na nyingine nyingi zinazoungwa mkono na wanaCCM japo kwa chinichini, ni wazi kwamba Katiba Mpya ni hitaji la watanzania. Namuomba mama Samia afanye hima kumalizia mchakato wa Katiba ya Wananchi (Katiba ya Warioba) ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…