Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Chalamila alikuwa na hoja ya kutaka katiba mpya lkn sababu aliyotuwekea ni ya kijima.
 
Ha ha ha hii nchi ina vituko sana.Tuseme naye alirogwa na mkuu wa wilaya akaliwa kichwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo kanusho limenichekesha sana. Eti Mimi sutaki katiba mpya wala marekebisho ya katiba. Huyu jamaa sijui alikuwaje kipindi yupo kuanzia na umri Wa miaka 20+[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kauli zake keshajimaliza
 
Hv mzee magufuri hawa watu alikuwa anawapata wapi? Ni kama alikusanya machizi. Mtu kama Chalamila kuleta nadharia ya uchawi kama hoja inafikirisha sana kama ni mzima. Kweli nimeamin msemo ..EVERY MAN IS GENIUS UNTIL HE SPEAKS..
 
Hiyo mbinu ndiyo Wazanzibar wataitumia sana kuitawala Tanganyika maana huwa hawapewi nafasi kwenye nafasi ya urais wa JMT
 
 
Chala alianza zamani harakati za kudai Katiba mpya kabla hata ya Luhaga mpina,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…