Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Daaah!! Chalamila anataka kusema Rais wa awamu ya tano alilogwa na aliyekuwa makamu wake!!? Au mimi ndiyo sielewielewi namna alivyopiga turnover
 
Bora angemalizia kusema alichotaka kusema, hata kama ilitokea kwenye nchi ya kusadikika makamu akamroga rais ili aingie madarakani.
Huyu jamaa soon atachambwa kuliko hata mkono wa kushoto...[emoji23][emoji1787]
 
CCM kwa kuchawiana nakushikana uchawi hapana!
Msipovunja maagano yenu CCM na ibilisi mliyeapa kumtumikia mtapuputika wote!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]dah,
 
Yaani ni kweli makamu anaweza kumroga Rais akadanja ili awe Rais yeye! Ujumne umefikaa kwa wahusika!
Robo 3 ya nchi zote duniani hutumia huo mfumo ila kupunguza gharama za uchaguzi kwa wananchi wake. Hana hoja ya msingi, ni chuki tu maana yuko benchi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…