Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aache kuzungukaInshort Chalamila anamaanisha Jiwe alilogwa na msaidizi wake.
Alichotaka kusema ameshasema..kazi iko kwenye uelewa wako.Aseme anachotaka kusema maana serikali haiamini hayo mazingara.
Daaah!! Chalamila anataka kusema Rais wa awamu ya tano alilogwa na aliyekuwa makamu wake!!? Au mimi ndiyo sielewielewi namna alivyopiga turnover#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602
Chalamila hawezi kukaa meza moja na Samia ni watu wawili wenye tabia tofauti.Ana maana Hangaya alimpiga juju JPM ili aukwae urais. Yaani huyu domo lake halinaga break,hata kama Samia alikuwa anamfikiria kumrudisha ndiyo amejiroga kabisa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
[emoji1787].....Ina maana mama alimroga mtu?[emoji41]
Usichoelewa nini wakati maelezo yamenyooka hayo?Daaah!! Chalamila anataka kusema Rais wa awamu ya tano alilogwa na aliyekuwa makamu wake!!? Au mim ndyo sielewielew namna alivyopiga turnover
Robo 3 ya nchi zote duniani hutumia huo mfumo ila kupunguza gharama za uchaguzi kwa wananchi wake. Hana hoja ya msingi, ni chuki tu maana yuko benchi sasa.Yaani ni kweli makamu anaweza kumroga Rais akadanja ili awe Rais yeye! Ujumne umefikaa kwa wahusika!