Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Siyo mbaya ila haiwezi kuungua kwa sababu ina maji.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.
Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.
Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.
Hizo customs bonded house kwanza ni vituo vya kukwepa kodi tu. Hebu fikiri kama lengo la kufungua bandari kavu kibaha ni kuondoa foleni hivi vituo vya kuchukulia mizigo wanasambaza ni jini kwa nia gani. Sasa hiizi bohari za kutozea ushuru wanaziita bandari kavu kimakosa au kusudi kupotosha huku vingi vinasababisha kuepa kodi na kusababishia mji foleni kwenye hivyo vituo.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.
Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.
Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.
View attachment 3618337
Sasa kama hamjui kama mpo au hampo serious, hakuna mwandamanaji hapo.Kwa hiyo tarehe 7 tupo serious?
Mkuu nimeuliza tu wala usihofu sanaSasa kama hamjui kama mpo au hampo serious, hakuna mwandamanaji hapo.
Mapango ya wakwepa kodi. Yachomwe tu.Kigamboni imekua kero kwa kweli, uhasibu unaweza kukaa masaa 2 ukisubiri foleni isogee upite darajani, upande wa mikadi napo kuna ICD, ni kero kila sehemu
Kwala ishajengwa na kukamilika, ugumu upo wapi kuhamisha hizo shughuli
Tatueni shida ya foleni,ondoeni mayadi yanayomea katikati ya miji!Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.
Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.
Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.
Unajibu kwa mihemuko badala ya kujibu hoja za kiongozi wa Mkoa, jambo linaloonyesha upungufu mkubwa wa uwezo wako wa kuchambua masuala kwa mantiki. Ulichokiandika kimeweka wazi kiwango chako cha uelewa na namna unavyoshindwa kutofautisha hoja na hisia.Huyu ni wakumuaisha kupimwa akili.Tusipo shtuka
mbona analalamika badala ya kutoa suluhishoMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.
Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika makazi ya watu hasa Kigamboni.
Chalamila ameeleza kuwa amepata taarifa za kiintelijensia kuwa kuna vijana wamejipanga kwenda kuchoma moja ya bandari kavu kwa sababu inasababisha foleni katika maeneo wanayoishi.
Huyu jamaa ni Muongo Hadi Shetani ameshika kiunoMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo.