Inahusikaje na mada?Nani kama Mama ? Mi tano tena kwa mama Samia 😀😀
Nani kama Mama ? Mi tano tena kwa mama Samia 😀😀
Sio kweli kwenye mpira anything can happen.Aliahidi hivi:
1. Kila mchezaji kupewe kiwanja Kigamboni
2. Kipa asiporuhusu goli anapewa gari Crown Mpyaaa
Anything au sio?Sio kweli kwenye mpira anything can happen.