GE2025 Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

believe me hiyo ya kuleta mabasi siyo dawa, dawa ni ustaarabu wa foleni hata ikiwezekana walete ffu na atakayekata foleni kwa fujo anashikwa, ukishika 5 vurugu itaisha, abiria mmoja mmoja apande na haijalishi foleni ni ndefu kiasi gani.

usisahau dar ina wakazi zaidi ya milioni 5 hivyo muda wa kwenda au kutoka kazini hakuna idadi ya mabasi itakayo zuia wingi wa watu …
 
Sio kwa tz. hii jombaa....
Kila mahala unakoona matukio kama haya jua tu watu walikuwa na uvumilivu.

Kama umekuwa mtu wa kutazama yale yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii utanielewa.

Watu wamekuwa hawana tena kutumia Id zao kuisema serikali na hata kutukana viongozi.

Kitu ambacho kitahama toka huko na kuwa jambo lakawaida pia mtaani
 
Wakati V8 zikitoka mpya tu Serikali inatupa ya zamani, wananchi wajielewe vipaumbele vya serikali za kileo vipo wapi ? Kwa wananchi au viongozi ?
 
Waruhusu mabasi ya watu binafsi yatumie hii njia kwa kuwapangia muda. Angalao hii iwe kwa muda mpaka watakapo tatua changamoto zao.
Kwa hili Kuna uzembe ulio kubuhu hapa.
 
Huyo mkuu wa mkoa ni mpumbavu haswa hakuna kitu anaweza
 
Kumbe tangu July tatizo walishaliona ila wakalifumbia macho.
Sasa hii October ndio wanazinduka baada ya abiria kusema wameichoka ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…