Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mm huyo mkuu wa mkoa sijawahi kumuelewa naonaga anaropoka tu nika ameupata ukuu wa mkoa kwa kuroga vile.Janab nadhani kutokula vizuri kumeathiri hata akili yake. Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories.
Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu?
Huyu Janabi angefanya jambo la maana kuhakikisha kule Muhimbili kila majeruhi anayefikishwa anashughulikiwa kwa haraka naye kushiriki. Angehakikisha ambulance zinatoka na kwenda kusubiria wagonjwa.
Anakuja hapa anazunguka zunguka wakipiga stories na Chalamila. Huu ni wendawazimu kabisa.
View attachment 3153628
Umewashambulia bila sababu, Janabi ni mtaalam wa afya hivyo uwepo wake una umuhimu, Chalamila ni RC ni vizuri pia akiwepo kuonesha uwajibikajiJanab nadhani kutokula vizuri kumeathiri hata akili yake. Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories.
Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu?
Huyu Janabi angefanya jambo la maana kuhakikisha kule Muhimbili kila majeruhi anayefikishwa anashughulikiwa kwa haraka naye kushiriki. Angehakikisha ambulance zinatoka na kwenda kusubiria wagonjwa.
Anakuja hapa anazunguka zunguka wakipiga stories na Chalamila. Huu ni wendawazimu kabisa.
View attachment 3153628
hujamwelewa, janabi angekuja na ambulance ingeleta maana, pale kariakoo kamata kuna greda la wajenzi wa mwendokasi wameshindwa kuwambia waje kuokoa?Umewashambulia bila sababu, Janabi ni mtaalam wa afya hivyo uwepo wake una umuhimu, Chalamila ni RC ni vizuri pia akiwepo kuonesha uwajibikaji
Alitakiwa aende pale energwncy muhimbi asubiri majeruhi,au aje na ambulanceUmewashambulia bila sababu, Janabi ni mtaalam wa afya hivyo uwepo wake una umuhimu, Chalamila ni RC ni vizuri pia akiwepo kuonesha uwajibikaji
Rescue expert hatuna, janabi na Chalamila, lazima wawepo, katika kuhamasisha na kuharakisha juhudi za uokozi, pale chini Pana joto bana, hata feni ikiwapo huwa balaa tupu, hata hivyo wengi wameshaokolewa!Umewashambulia bila sababu, Janabi ni mtaalam wa afya hivyo uwepo wake una umuhimu, Chalamila ni RC ni vizuri pia akiwepo kuonesha uwajibikaji
Huyo RC anawaji ika nini hapo zaidi ya kutumbua macho na kulegeza limdomo?Umewashambulia bila sababu, Janabi ni mtaalam wa afya hivyo uwepo wake una umuhimu, Chalamila ni RC ni vizuri pia akiwepo kuonesha uwajibikaji
Grade linawezaje kutukimika hapo? Naomba kuelekezwa.Safari za kila siku greda lauokoaji hakuna
Hii Nchi bado sana
Ulazima wa chalamila kuwepo haupo, ulazima unaotakiwa kuwepo ni vifaa vya uokoaji ambavyo havipo ni aibu mkuu wa mkoa kwenda kwenye eneo la tukio kutumbua macho bila vifaa vya uokoajiMleta uzi kuna vitu vingine vichukulie positive tu. Unataka janabi awepo kana kwamba hapo hapawezi kuwa na majeruhi anayehitaji msaada wa haraka. Chalamila ni Mkuu wa Mkoa lazima awepo hapo.