Chalamila na Janabi acheni kutafuta Kick kwenye Maisha ya watu

Chalamila na Janabi acheni kutafuta Kick kwenye Maisha ya watu

Jioni atakwambia wale watu wamekufa sababu ya presha iliyosababishwa na kula milo mitatu bafala ya mmoja
acha masihara kwa sasa shuhuli inayoendelea ni ya uwokozi haya ya mzaa unapata wapi nguvu ya kuyaleta hapa
 
nimesikitika yule mama ameokolewa analia,chalamila kaenda kumshika mkono Alhaj mlinzi wamagufuli zamani anaenda kumwonesha yule mama sasa sijaelewa alitaka Alhaj afanyaje
 
Umewashambulia bila sababu, Janabi ni mtaalam wa afya hivyo uwepo wake una umuhimu, Chalamila ni RC ni vizuri pia akiwepo kuonesha uwajibikaji
Sijaona umuhimu wa Janabi hapo labda kama ameenda kushuhudia tu
kama watu wengine.

Ilitakiwa tuone ambulance zimepaki pembeni yeyote anayeokolewa anaingizwa ndani ya ambulance hapo muhimbili dk 5 tu kutoka eneo la tukio.

Huyo mkuu wa mkoa ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama kabla ya yeye kufika eneo la tukio alitakiwa awe amesha mobilize emergency team na vikosi vya uokoaji vikiwa full equipped, sasa tunaona mkuu wa mkoa anahojiwa na huku manusura wanabebwa kwenye virukuu kama sio ujinga ni nini
 
acha masihara kwa sasa shuhuli inayoendelea ni ya uwokozi haya ya mzaa unapata wapi nguvu ya kuyaleta hapa
Yeye ndio ana masohara,badala ya kukaa casuality sijui energency kusubiri majeeuhi yeye yuko hapo anapiga stori
 
Back
Top Bottom