Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Hapo hahitajiki Profesa mtaalam wa afya. Wanaohitajika ni wataalam wa uokoaji na watu wa huduma ya kwanza. Profesa anapaswa kukaa hospitali ili kujiandaa kupokea majeruhi kwa kuhakikisha theater ziko tayari, damu ipo ya kutosha. Aidha kuhakikisha madaktari, manesi na mafundi mchundo wako standby kuhudumia wagonjwa.Umewashambulia bila sababu, Janabi ni mtaalam wa afya hivyo uwepo wake una umuhimu, Chalamila ni RC ni vizuri pia akiwepo kuonesha uwajibikaji
Acha ushamba kuna magreda yenye winchi ya kunyanyua vifusiGrade linawezaje kutukimika hapo? Naomba kuelekezwa. View attachment 3153660
Zungu je? Au presha inagoma ? Au Uzee ?! π³Janabi atagombea ubunge Ilala mwakani
Washike Koleo na waoMleta uzi kuna vitu vingine vichukulie positive tu. Unataka janabi awepo kana kwamba hapo hapawezi kuwa na majeruhi anayehitaji msaada wa haraka. Chalamila ni Mkuu wa Mkoa lazima awepo
Hatar sana !Mwenye Jengo naye kafa? Mkome mmezoea kila kitu porojo tu, utakuta hapo watalaam walitoa angalizo, rushwa ikapita mwanaharamu akafunika kombe maisha yakasonga, Sasa haya ndio madhara ya joint expansion.
Inaonekana watu hawana Hela ila wanalazimisha kujenga magengo marefu Kwa kutumia budget kiduchu na engineers Michael aka uchwara.
Winchi ya kunyanyua vifusi inafungwa sehemu gani kwenye greda? Au we ndo wale kila mtambo mnaita greda?Acha ushamba kuna magreda yenye winchi ya kunyanyua vifusi
Wendawazimu. Janabi anachofanya ni nini hapo? Utaalamu wake ni upi ambao una msaada hapo?Umewashambulia bila sababu, Janabi ni mtaalam wa afya hivyo uwepo wake una umuhimu, Chalamila ni RC ni vizuri pia akiwepo kuonesha uwajibikaji
JANABI NI DR WA NINI? HAPO ANASAIDIA MAJERUHI GANI? TUACHE KUFANYA MZAHA NA SIASAMleta uzi kuna vitu vingine vichukulie positive tu. Unataka janabi awepo kana kwamba hapo hapawezi kuwa na majeruhi anayehitaji msaada wa haraka. Chalamila ni Mkuu wa Mkoa lazima awepo hapo.
Haaaaa yy anajua great tu kimbembe liletwe anasema kumbe dio grader tz ushamba umewazidi vitu vidg hawavijui hahaaWinchi ya kunyanyua vifusi inafungwa sehemu gani kwenye greda? Au we ndo wale kila mtambo mnaita greda?
Ndivyo mambo nchi hii yalivyo.Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories.
Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu?
Huyu Janabi angefanya jambo la maana kuhakikisha kule Muhimbili kila majeruhi anayefikishwa anashughulikiwa kwa haraka naye kushiriki. Angehakikisha ambulance zinatoka na kwenda kusubiria wagonjwa.
Anakuja hapa anazunguka zunguka wakipiga stories na Chalamila.
View attachment 3153628
Kmmk πππ hawa wanatuchukuliaje sisiJioni atakwambia wale watu wamekufa sababu ya presha iliyosababishwa na kula milo mitatu bafala ya mmoja
Badala ya kutoa kifusi naye anabakia kupiga domoWendawazimu. Janabi anachofanya ni nini hapo? Utaalamu wake ni upi ambao una msaada hapo?