Sijaona umuhimu wa Janabi hapo labda kama ameenda kushuhudia tu
kama watu wengine.
Ilitakiwa tuone ambulance zimepaki pembeni yeyote anayeokolewa anaingizwa ndani ya ambulance hapo muhimbili dk 5 tu kutoka eneo la tukio.
Huyo mkuu wa mkoa ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama kabla ya yeye kufika eneo la tukio alitakiwa awe amesha mobilize emergency team na vikosi vya uokoaji vikiwa full equipped, sasa tunaona mkuu wa mkoa anahojiwa na huku manusura wanabebwa kwenye virukuu kama sio ujinga ni nini