Lazima aliweke Public maana anatafuta kiki kwa SamiaNinaweza kumuunga mkono kwa uwezo wake wa kifikra ana hoja nzuri lakini ningekuwa mimi hili jambo lilikuwa halina haja ya kuja public keti na familia yako wape misingi kama hiyo katika msiba wako siku ukifa hakuna atakayekataa lakini kuja mbele za watu na kuzungumza ushuzi kama ule haileti maana yoyote
Akiwa na lengo hilo yupo sahihi na ninakuunga mkono ila kama lengo ni kiimani amefeliLazima aliweke Public maana anatafuta kiki kwa Samia
ThubutuKaribuni kwenye uislamu hii ni dini simple sana, watu mnacimplicate maisha bure tu.
Uislamu sio tu kazika hata harusi zetu ni simple tu.
Ni msikitini pekee unaweza kukuta raisi wa nchi anasali safu moja na walala hoi hakuna special reserved seats kwa mheshimiwa yeyote msikitini.
"Nikifa nizikwe kama Waislamu siyo nizikwe Kiislam,
Ata ukristo ukiwa huna pesa unafunga harusi simple na mwislam mwenye pesa hufunga harusi ya kifahariKaribuni kwenye uislamu hii ni dini simple sana, watu mnacimplicate maisha bure tu.
Uislamu sio tu kazika hata harusi zetu ni simple tu.
Ni msikitini pekee unaweza kukuta raisi wa nchi anasali safu moja na walala hoi hakuna special reserved seats kwa mheshimiwa yeyote msikitini.
Huyu anafanya uchawa kwa Samia hana lolote ,
Uzikwe na sanda,uzikwe kwenye sanduku, uzikwe uchi kama hukujiandaa na Mungu wako haisaidii kitu
Huyu anasema hivo ili Samia asimtumbue
Hujaelewa, hajaongelea dini, kaongelea taratibu za mazishi.Kumbe Uislamu mnaokubali japo mnaishi kiunafiki
Sikukuu ziko tatu kwa mwanadamuWakuu,
"Nikifa nizikwe kama Waislamu siyo nizikwe Kiislam, miaka ya leo tumekuwa na misiba yenye mbwembwe nyingi sana bajeti ya mamilioni zinakwenda kuupa ufahari msiba lakini baada ya wiki mbili au miezi mitatu kama ni baba na mama waliowaacha watoto msiba unakuwa ni mzuri na wakifahari halafu baada ya miezi miwili mitatu watoto walioachwa wakiwa yatima wanaanza kufukuzwa ada.
Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es asalaam kwenye hafla ya kutoa misaada kituo cha watoto yatima UMRA Kinondoni.
Naunga mkono hoja.Huyu anafanya uchawa kwa Samia hana lolote ,
Huyu anasema hivo ili Samia asimtumbue
kama alishabadili diniNinaweza kumuunga mkono kwa uwezo wake wa kifikra ana hoja nzuri lakini ningekuwa mimi hili jambo lilikuwa halina haja ya kuja public keti na familia yako wape misingi kama hiyo katika msiba wako siku ukifa hakuna atakayekataa lakini kuja mbele za watu na kuzungumza ushuzi kama ule haileti maana yoyote
Kama anapendezwa na taratibu za Kiislam, hatakiwi kusubiri mpaka afe, bali anatakiwa kuslimu kuanzia sasa ili awe na ujakika wa kulazwa kaburini kwa mwongozo wa dini ya kiislam.Chalamila anatafuta umaarufu hata kwa mambo yasiyo na maana wala ulazima.
Hivi kuna mahali imendikwa wakristo wazikwe kwa bajeti fulani?
Tangu kale maziko yalifanyika kwa namna familia inavyoamua.
Bwana Mwokozi wetu alizikwa kwenye kaburi lililoandaliwa na Joseph wa Arimataya, kaburi la kuchongwa ndani ya mwamba, lenye mlango, kaburi alilokuwa ameliandaa kwaajili yake na wanafamilia wake. Hili kwa nyakati hizo lilikuwa ni kaburi la gharama kubwa.
Lakini walikuwepo waliokuwa wakizikwa kwenye makaburi yale ya kuchimba ndani ya saa 1 limekamilika.
Kwa hiyo, vyovyote wanafamilia wanavyoamua ni sahihi, maadam hawamlazimishi mtu.
Kwa taratibu za Kikristo, haijalishi unazikwa kwenye kaburi la namna gani, unazikwa baada ya muda gani, unazikwa kwa bajeti gani, ibada ya maziko ni ile ile. Mambo mengine ni uhuru wa wanafamilia kwa namna ile inayowapa faraja wao.
Kama anapendezwa na taratibu za Kiislam, hatakiwi kusubiri mpaka afe, bali anatakiwa kuslimu kuanzia sasa ili awe na ujakika wa kulazwa kaburini kwa mwongozo wa dini ya kiislam.
Kwa hiyo waisilamu hufupisha mambo kwa muongozo wa kiimani au ili kupunguza gharama?HAKUNA UCHAWA HAPO, HIYO NI FACT AMBAYO WAISLAM PEKEE WANAIFAHAM....
Amesema hivi, watu wanafanya misiba ya kifahari na baada ya msiba familia iliyobaki hata kama ilikuwa na watoto wadogo wanatelekezwa. Badala ya kutumia mahela meeengi kwenye msiba afahadhali hizo fedha zipewe familia/watoto wake kama wapo (kama Waislam wanavyo wapa familia hela zilizo changwa kwenye msiba).