Chalamila: Nasisitiza nikifa nizikwe kama waislamu siyo kiislamu. Tunafanya misiba ya kifahari baada ya miezi 2 watoto wanafukuzwa ada

Muongo Mzee,chalamila humjui Mzee , kwamba kuzikwa kwenye jeneza kunazuia vipi watoto kufukuzwa shule?

Chalamila anacheza game ya kujipendekeza kwa Samia
Hapo hajazungumzia sanduku tu kiongozi.
Hoja ipo kwenye zile gharama zinazoambatana na shuhuli ya msiba
 
Si misiba tu hata ndoa zimekua mitaji na baada ya miezi 3 wanaachana wanagawana Mali kl mmoja anakua na kianzio cha maisha
 
Si misiba tu hata ndoa zimekua mitaji na baada ya miezi 3 wanaachana wanagawana Mali kl mmoja anakua na kianzio cha maisha
 
Sasa povu la nini mkuu? Yeye kazungumzia taratibu za mazishi tu hajatuhumu ukristo. Yeye kataka mazishi simple tu katolea mfano mazishi ya waislamu hivyo akifa azikwe kikristo(sio kiislamu) kwa mazishi simple.
 
Huyu anafanya uchawa kwa Samia hana lolote ,

Uzikwe na sanda,uzikwe kwenye sanduku, uzikwe uchi kama hukujiandaa na Mungu wako haisaidii kitu

Huyu anasema hivo ili Samia asimtumbue
Mimi namuunga mkono. Msiba wa millions or harusi ya millions, mkimaliza mnaanza kukopa, hizo sio sherehe au Imani, ni matumizi mabaya ya ubongo.
 
Sasa povu la nini mkuu? Yeye kazungumzia taratibu za mazishi tu hajatuhumu ukristo. Yeye kataka mazishi simple tu katolea mfano mazishi ya waislamu hivyo akifa azikwe kikristo(sio kiislamu) kwa mazishi simple.
Afe yeye halafu nitokwe povu mimi? Mimi nimehoji kuwa anauambia umma kwa sababu zipi wakati ni suala la wosia tu kwa familia yake? Yeye aangalie majukumu yanayohusu wananchi, suala la mazishi ni binafsi, huwezi kumpangia mtu ambaye havunji sheria za nchi
 
Wagalatia wamepanic.
Hoja yake mbona haikukaa kigalatia ila kiuchumi zaidi. Hata muislam wako wanaogharamia mazishi au harusi kibabe na magharama kibao. Chalamila mchumi mzuri kwa hilo
 
Mimi namuunga mkono. Msiba wa millions or harusi ya millions, mkimaliza mnaanza kukopa, hizo sio sherehe au Imani, ni matumizi mabaya ya ubongo.
Inatakiwa iwe hivo ,lakini kwa huyu Chalamila anafanya uchawa
 
Kampangia nani sasa wakati anazungumzia mazishi yake?
 
Hata ndoa pia ziwe kama za kiisilam tu..sio ndoa bwebwe nyubgi harusi ikiisha tu maharusi wanapata presha za madeni.
 
Kwani jamaa ni mroman, kikubwa roman wanaangalia ushiriki kwenye jumuiya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…