Chalamila omba wasaa ukutane na Mheshimiwa Rais uombe umueleze upande wako wa stori

Mtatupotezea muda wananzengo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama ana sense of humour lakini kazi ni kazi na utani tuuache kwa marafiki na vijiweni

Utani? Sidhani kama huo ni utani bali ni ya moyoni anayoyajua yeye wala haihitaji rocket science kumtambua mtu
 
Chalamila hawezi kuomba radhi...mark my words
 
Huyu atakuwa anatatizo la akili sio bure
 
Me nilijua unayo hiyo video nzima ambayo ni tofauti na ile inayohamasisha mabango ya matusi

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kutokana na hilo, Omba miadi na mheshimiwa rais, Chukua video nzima za press conference yako na waandishi wa habari, mueleze mheshimiwa rais kuwa waandishi wameikata hiyo taarifa na "kukutake out of context" kwa sababu za kiuchonganishi.
Kwani kutokuwa RC kutamfanya afe njaa!!? yeye ni miongoni mwa wanasiasa wanaohamasisha watu na hasa vijana kujiajiri, na yeye atafute njia mbadala ya kuishi awaachie wengine nafasi
 
Sasa c ulete ambayo haijakatwa ili hoja yako ya kumtetea huyo mlevi iwe na mashiko?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Umerudia tena ku-post wewe clown? Mama Samia siyo Magufuli na hawezi kudanganywa kijinga hivyo. Wewe bila shaka ndiye Chalamila. Au amekulipa fedha kwa sababu tangu asubuhi unajaribu kumtetea usijue ndivyo unavyozidi kumdidimiza.
 
Icheki YouTube akipokea vifaa vya hospital aliongea ujinga sana.

Watu wengi wanaongelea ishu ya mabango sijui Ila hii hawaiongelei

Kabisa, kauli hii ndio ilikuwa mbaya sana. Maana wala hakuwa anawaweka wananchi sawa, bali alikuwa anaibua hisia hasi dhidi ya huyo mama kutokana na kifo cha Magufuli.
 
Kabisa, kauli hii ndio ilikuwa mbaya sana. Maana wala hakuwa anawaweka wananchi sawa, bali alikuwa anaibua hisia hasi dhidi ya huyo mama kutokana na kifo cha Magufuli.
Tone ya jamaa mbona ilikuwa ni kumfagilia rais ili akubalike zaidi?
 
Maji ndio yamemwagika hayo hayazoleki ; tena kwenye mchanga!!!
 
Tone ya jamaa mbona ilikuwa ni kumfagilia rais ili akubalike zaidi?

Mama sio kama JIWE, hataki watu wanaojipendekeza anataka kuona kazi inaendelea na matokeo yanaonekana!!! Huu sio wakati wa chawa! Let this be a lesson to others.

Hawa ndio kundi wanaomjalibu Rais mpaka kuingia Bungeni kujibu maswali huku wamelewa wakitaka waone atawafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…