Chalamila: Rais angesema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa nina uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu

---

Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi kusema kuwa ikiwa Rais atasema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa ana uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 wakati wa Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Klabu ya Yanga

😁😁
Kwa sehemu kubwa ya manunuzi yetu ya kila siku, tunalipa kodi ( indirect na direct ) .
 
Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya ais katika kutafuta funds na anadai aliwahi kusema kuwa ikiwa Rais atasema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa ana uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

ni kweli kabisa,
kwasababu wengi ni wakwepa kodi, na sasa wangerudishiwa nini na walikwepa kulipa kodi?

wacheche tu waliolipa ndio wangerudishiwa 🐒
 
Nchi ina resources za kutoshaaa,ambazo kama zingekuwa utilized bilaa ubinafsi na ukengee,ingetosha kabisa hao wachache kulipa kodi na nchi kuendelea kutekeleza miradi yote ya kimkakati ya muda mrefu na mfupi pasipo Rais mwenye akili kwenda kutafuta funds kwa Wahisani.
 
Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya ais katika kutafuta funds na anadai aliwahi kusema kuwa ikiwa Rais atasema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa ana uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

Huyu nae akili zipo kwenye mtako nchi haina chanzo cha mapato zaidi ya rasilimali za nchi na kodi za wananchi hata kama anakopa bado zinalipwa kutoka kwenye kodi wananchi na rasilimali za nchi raisi hatoi pesa kwenye koti lake maana hata yeye mwenyewe anategemea kodi za wananchi zimlipe posho na mishahara
 
Ndio maana wengine tulishauri kuyapuuza hayo matakataka mawili ya Kariakoo ya Simba na Yanga maana uhusika wao na ukimya wao baada ya October 29 ni kiashiria tosha ni jukwaa la CCM kupumbaza watu.

Huwezi leo hii kukuta club kama za pale ligi kuu ya Uingereza au kokote wanapojitambua viongozi au timu wamekalishwa chini na kiongozi wa kisiasa .
 
Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu

---

Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi kusema kuwa ikiwa Rais atasema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa ana uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 wakati wa Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Klabu ya Yanga

Yeah, debe tupu!
 
Aliwatuma nani oktoba 29
1.kuchoma moto vituo vya uchaguzi na kuzuwia watu kupiga kura?
2.kuchoma miundombinu ya umma ambayo hatujamaliza deni bado
3.kuchoma mali za watu binafsi
4 kupora mali za watu
5 kuua askari
 
Kichwa mpira,
Bichwa box
Bichwa maji
Debe tu,
Empty set
Dim-witted
Bird-brained
Empty-headed
 
Hadi mtoto wangu mdogo anapoenda kununua juice au pipi analipa kodi.
Hakuna mtanzania ambaye halioi Kodi.
Tunatofautiana kiwango na idadi ya aina za kodi tunazolipa.
Sijui kama aliwaza kwa kina kabla hajaongea hivyo?!!
 
Ulishawahi dai risiti baada ya kununua?
Hana maana hiyo. Mazafaka anadhani wengi wetu hatulipi kodi. Kama tunalipa kodi lakini hazifiki zinakotakiwa kwenda, hilo ni tatizo la system ya Serikali.

I have traveled the world. Hakuna nchi iliyoendelea inayomlazimisha mlipaji kudai receipt. If anything, mpokeaji wa malipo anatoa receipt hata bila kuombwa. Wao wako kama machine—wakipokea malipo wanatema receipt. Mlipaji anayo hiari ya kuichukua au kuiacha!
 
Basi achukulie kuwa kila mtu amerudishiwa kodi yale then aseme pesa zinazobaki ni za nani? Au anadhani anayelipia mikopo ni akina nani?
Unajionea huruma kwa kauli ya mtu anayeitwa mkuu wa mkoa, hivi kweli anaweza kuweka mawazo mazuri mezani kweli.
 
Aibu naona mm ... Kua na viongozi hata akili kisoda
.. Hivi kuna mtanzania asie lipa kodi ... Na huyo mtanzaia ambaye halipi kodi yy hatumii bidhaa ama huduma mitandao, hanunuihata soda hata pipi hajawahi kula... Huyoni kiongozi na baba wa familia akili zake ndo ziko hapo dah....
 
Huyo amelewa madaraka hajui VAT ipo katika bidhaa au huduma ambazo mteja wa mwisho analipia
Kama sie wabugia bia na mafegi tungerudishiwa fungu la kutosha tu. Na chalamila ni mtu wa bia sijui kasahau vip hili?
 
Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu

---

Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi kusema kuwa ikiwa Rais atasema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa ana uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 wakati wa Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Klabu ya Yanga

Tena Chalamila akumbushwe kuwa wanasiasa wote wasingerudishiwa kitu maana ni net eaters wa kodi zetu.
 
Back
Top Bottom