MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hapo zishawafikia mapema sana ila kwa upande wa njia panda itokayo uwanja wa taifa vijana wa ajira portal ila walio chuo kishiriki cha elimu hapo DUCE bado taarifa hawana hivyo muda huu wapo kazini kama kawaida.Ndugu ripota vipi mitaa ya pale DDC karibia na TAMECO..
Salaam ziwafikie
Ndugu ripota tunakupata live bila chenga kutoka hapa studio na tafadhali mpe taarifa ripota wetu mpaji Mungu,,,,kua kwa sasa huku pwani harakati za vijana wa ajira portal zinaathiriwa na mvua za el nino ukanda wote huu wa pwani...Hapo zishawafikia mapema sana ila kwa upande wa njia panda itokayo uwanja wa taifa vijana wa ajira portal ila walio chuo kishiriki cha elimu hapo DUCE bado taarifa hawana hivyo muda huu wapo kazini kama kawaida.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
π€£π€£ππππ karibu ndugu ripota....Vitu vingine bana
Na Pugu pale kuna chimbo, warangi kama woteSalamu zimefika kwa brother mkuu
Ovaaa.
Na mbagala sabasaba kupo vizuri mkuu
Ovaaaa
Mkuu warangi hawa hawa wa kondoa?Na Pugu pale kuna chimbo, warangi kama wote
Pugu ipi?Na Pugu pale kuna chimbo, warangi kama wote