Chalamila shikamoo brother

Chalamila shikamoo brother

Ndugu ripota vipi mitaa ya pale DDC karibia na TAMECO..
Salaam ziwafikie
Hapo zishawafikia mapema sana ila kwa upande wa njia panda itokayo uwanja wa taifa vijana wa ajira portal ila walio chuo kishiriki cha elimu hapo DUCE bado taarifa hawana hivyo muda huu wapo kazini kama kawaida.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu ripota tunakupata live bila chenga kutoka hapa studio na tafadhali mpe taarifa ripota wetu mpaji Mungu,,,,kua kwa sasa huku pwani harakati za vijana wa ajira portal zinaathiriwa na mvua za el nino ukanda wote huu wa pwani...
Tupo studio live ndugu ripota...
Ovaaaaah
 
Back
Top Bottom