MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hapo zishawafikia mapema sana ila kwa upande wa njia panda itokayo uwanja wa taifa vijana wa ajira portal ila walio chuo kishiriki cha elimu hapo DUCE bado taarifa hawana hivyo muda huu wapo kazini kama kawaida.Ndugu ripota vipi mitaa ya pale DDC karibia na TAMECO..
Salaam ziwafikie
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app