Chalamila: Suala la Padri Kitima litakuwa na uwazi lakini kwa kufuata miiko ya taaluma

Polisi ni washukiwa namba moja
 
Ilikuwaje huyu jamaa akawa RC.
kweli uchawi upo.

uwezo wake wa akili ni mdogo sana kuongoza mkoa wenye wasomi wengi.
Level of incompetecy iliyopo serikalin ni ya kutosha. Kuna watu wamewekwa hapo sababu ni makada, but hawana uwezo kabisa
 
Public trust kwa polisi imeshuka, and thanks kwa matendo yao wenyewe.
 
Akaendelee kulewa gongo zake ebu asituchoshe 😏
 
rubbish!
 
..waliomshambulia Lissu hawajapatikana mpaka leo halafu mnataka tuliamini jeshi la polisi?
 
rubbish!
 
rubbish!
 
Hili punguani kweli kweli
 
Kamaliza charamira baadae tutamsikia muriro anakuja verse ya pili alafu kiitikio wasanii na trend
 
Hatudanganyiki katika hili. Polisi wamewahi kukamata washambuliaji wa mkosoaji gani wa watawala? Haijawahi kutokea (na pengine haitakaa itokee)!
 
Waache maneno waweke muziki. Wajue tu kuwa na kanisa litafanya uchunguzi wake pia.

Ukiona mtu kabla ya kukufanyia jambo anaanza kwa kukupiga lecture ujue hapo hamna kitu. Anataka kuya shape mawazo yetu wakati yeye mwenyewe anachokizungumza haoneshi kukubaliana nacho.
 
Hivi Chalamila kama anakula walinzi na kusema ni mbuzi mnategemea majibu hapo!!?Iringa hoee🤣
 
Mhe. Chalamila wewe ni mkuu wa mkoa na ukuu wako hauko juu ya jeshi la polisi na halitakuja kuwa hivyo mpaka siku na mwaka utakapopewa mamlaka kuwaapisha polisi. Mhe. Chalamila mambo ya polisi waachie polisi wenyewe na wewe kimbizana na sisi wamachinga tusioapa kwa mtu.
 
Hapo ametukosea! Yaani tuiamini Polisi hii hii ya Muliro?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…