Chalamila usijione una akili kushangiliwa na vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli

Chalamila usijione una akili kushangiliwa na vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Chalamila badala ya kwenda kuhutubia na kujitamba kwa abiria Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwamba mshahara wake unamtosha ameenda kuhutubia kwa vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli ambao sio walengwa wa usafirishaji.

Kama Chalamila anafikiri ana akili sana aende Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwenye Ofisi za mabasi kukutana na wasafiri halafu awape nafasi ya kuongea kwenye mic kama yule dereva wa Lori.
 
Back
Top Bottom