Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.


Your browser is not able to display this video.
 
Ndiyo maana aliambiwa bado hajakua ,
 
Haa Hizo Agenda Angeziacha Vinginevyo Chama Kitapasuka Haraka Tena Hadharani
Siwaoni ndani ya Chama wenye ubavu wa kukipasua chama kwa sababu wanajua fika kile kitakachowafika wakishabainika !! Na sidhani wako tayari kupoteza maslahi yao wanayoendelea kuyapata kupitia Chamani !! Huo ndio ukweli mchungu !!🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…