Chalinze Cement yatoa tamko kuwa kampuni yao si ya mfukoni na sio matapeli

Kwa hio Chalinze Cement sio Kiwanda bali ni kampuni iliyoanzishwa kwa lengo la kutetea na kulinda maslahi ya wateja wa cement Tanzania? Hasa kwenye eneo kama Monopoly na extreme oligopoly kibiashara,?
 
Umri huu tena uteuzi? Labda ungesema nipendekeze wakuteuliwa.
Haya basi bibie Endelea kutafuna pension ya Canada. Kumbuka dual citizenship haikubaliki TZ. Amua moja kati ya Canada ama Tanzania.

We are closely monitoring every move you make.
 
Sikujali jua la adhuhuri ntajali sasa jua limekuchwa?
Fikiri.

"This is very touching and appealing. Jessica ni Muhehe wa Iringa. Jessica hajawahi kuukana Uhehe wake. Jessica hata ulanzi anaujua. Jessica hajawahi kuukana Utanzania wake.

Meanwhile, Micky is facing a touch choice in July this year. Micky has to choose between his Home by Birth vs his Home by descent. We deliberately put our kids in ambiguous and tough choices. They deserve better. Great message, Bongo Zozo!"

Tanzania bhana ni ya watu wachache sana wakiamua bila kujali walaji muhuni mmoja anaamua kuangamiza kisa ana madaraka hao Chalinze wao ndio wawape vibali harafu hao hap wanaenda kuongea Bungeni kuwa ni Kampuni ya mfukoni nadhani pana shida sehemu ya Oblongata ya Watanzania inatakiwa kufanyiwa kazi sio kwa kiwango cha ujinga huu tulionao...wameharibu huko Tanga Cement wanataka kuwatoa washindani wote kwa faida ya wachache na wanafanya huo ujinga hawazidi hata 50...
 
Wa style hiyo mimi huwaita ma "human jukeboxes" ukiwatia pesa wananyamaza.

Licha ya hao mawakili uchwara waliotajwa post namba moja, Wapo wengi wanaopiga kelele kwa matumbo yao. List yangu ya "human jukeboxes" ni hii...

Zitto Kabwe
Tundu Lissu
Mbowe
Lema
Lipumba
Mrema (marehemu)
Mpina
Makonda
Halima Mdee
Saeed Kubenea

Ongezea na wengine unaowakumbuka wewe.
Msiba
Maembe
Anty
 
Wakili wa kuetetea walaji.

Wakili huyo huyo ni WA kampuni ambayo ni sehemu ya mgogoro uliopo.

Nadhani anaelewa natural justice theory iitwayo NEMO JUDEX IN CAUSA SUA
 
- Wala hiyo principle ya 'Rule against bias ' haitumiki hapo, huyo Wakili ndiye ameendesha hiyo Kesi na amewashinda Twiga Cement,
-Huyo ni Wakili wa Chama Cha Walaji Tanzania (TCAS) as well as Wakili wa Chalinze Cement,
-Alichokifanya huyo Wakili Lutema ni kuonyesha kuwa Chalinze Cement imesajiliwa Brela.
 
Hao challinze hawana interest yoyote ya kuuzwa kwa kiwanda hicho?
 
- interest waliyonayo ni Kuwa wao ni wadau wa cement hapa Tanzania, na Hilo Hali athiri lolote kwenye hiyo Kesi, the fact that Chalinze Cement ni mdau wa Cement haliathiri lolote hapo.
 
Wa style hiyo mimi huwaita ma "human jukeboxes" ukiwatia pesa wananyamaza.

Licha ya hao mawakili uchwara waliotajwa post namba moja, Wapo wengi wanaopiga kelele kwa matumbo yao. List yangu ya "human jukeboxes" ni hii...

Zitto Kabwe
Tundu Lissu
Mbowe
Lema
Lipumba
Mrema (marehemu)
Mpina
Makonda
Halima Mdee
Saeed Kubenea

Ongezea na wengine unaowakumbuka wewe.
Always on point hata kama mtu hakubaliani na wewe
 
- interest waliyonayo ni Kuwa wao ni wadau wa cement hapa Tanzania, na Hilo Hali athiri lolote kwenye hiyo Kesi, the fact that Chalinze Cement ni mdau wa Cement haliathiri lolote hapo.
Upande mmoja mdau wa cement Tanzania, huyo huyo ni yupo kwenye walaji. Hauoni interest hapo?
Kwani hicho chama Cha walaji Wana wakili mmoja tuu. Kwa nini asingekuwa ambaye hausiki kabisa kwenye issue hiyo ili awe impartial?
 
-hilo halijaathiri chochote, na ndio maana hata Wakili Lutema alivyoenda kufungua kesi Fair competition tribunal (FCT) hakuwekewa pingamizi na Mawakili wa TWIGA Cement, ingekuwa ni Conflict of interest mawakili wa TWIGA Cement wangeweka pingamizi na huyo Wakili Lutema angejitoa kwenye Kesi ya Chalinze Cement, & Tanzania Consumers Advocacy Vs Twiga Cement,Hakan Gurdal, Fayaz Bojan, lakini Wakili Lutema aliendelea na Kesi na kuwashinda TWIGA Cement.
-
 
Huyo wakili, waajiri wake Wana interest kwenye hilo Dili full stop. Yamkini Kuna donge nono wamekosa
 
Wewe utakua na post ya uteuzi.
Iweje uwachukie wapinzani wa CCM tu ukiondoa shogazako Halima na makonda?
Sasa kwenye tawala utapata wanaopambania wananchi kweli?😁😁
 
Back
Top Bottom