Challenge: Andika namba mbili za mwisho za mwaka wako wa kuzaliwa

Challenge: Andika namba mbili za mwisho za mwaka wako wa kuzaliwa

African dont sleep wake up

Tuanze hii challenge una andika namba mbili za mwisho wa mwaka wako wa kuzaliwa mpaka umapate mdogo wako au kaka yako au dada yako au mchumba wako

Naanza mimi 06

Usiandike mwaka wako ulio zaliwa full mfano 1980 hii aitakiwi
We dogo ni fala sana 🤣🤣🤣🤣
 
Nakunya boga unatuongopea hapa
Nina 20 years nipo chuo cheti changu cha form 4 hicho hapo nimepiga pic saivi
IMG_20230406_025140.jpg
 
Back
Top Bottom