Hongera mabinti, Wakenya wasiwababaishe.Timu ya Soka ya wanawake(Kilimanjaro Queens) imeifunga Uganda goli 4-1 na kuingia fainali za Chalenji.
Itapambana na Kenya katika fainali baada ya Kenya kuitandika Ethiopia goli 3-2 katika nusu fainali nyingine.
Hongera mabinti, Wakenya wasiwababaishe.
Fungeni Wakenya chukua kombe.
Mungu awatangulie!!
Hongera mabinti, Wakenya wasiwababaishe.
Fungeni Wakenya chukua kombe.
Mungu awatangulie!!
Hongera sana...Timu ya Soka ya wanawake(Kilimanjaro Queens) imeifunga Uganda goli 4-1 na kuingia fainali za Chalenji.
Itapambana na Kenya katika fainali baada ya Kenya kuitandika Ethiopia goli 3-2 katika nusu fainali nyingine.