Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya Soka ya wanawake(Kilimanjaro Queens) imeifunga Uganda goli 4-1 na kuingia fainali za Chalenji.
Itapambana na Kenya katika fainali baada ya Kenya kuitandika Ethiopia goli 3-2 katika nusu fainali nyingine.
Hongera mabinti, Wakenya wasiwababaishe.
Fungeni Wakenya chukua kombe.
Mungu awatangulie!!