Wakati yeye akikwapua bilions za wananchi maskini wa Tanzania, na kuendelea kuwabatiza wanyonge wakati anang'ata na kuwapuliza!!
BONGE YA MNAFIKI, HAKUNA ALIYEWAHI KUWA MNAFIKI KAMA JIWE!
Akajitengenezea kakikundi cha kusifu na kuabudu na kuwaaminisha watu kuwa ni wanyonge, waliofanikiwa ndo wanawaibia, na maskini walivyo na roho za kimaskini wakahisi wapo na mesia,
Kumbe jambazi linatuma vibaka kukwapua hela za watu na kwa kuwa ameshika madaraka akawa anawatisha kuwafunga, kuwaua, au kuwapoteza!!
Hela ikakwapuliwa haijulikani imeenda wapi, bunge halijaipitisha kwenye budget, kaenda kuficha nje!!
Ila Mungu fundi haswa!! Amejua kuwafurahisha watanzania🤣🤣🤣