Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Kila nchi ya Afrika uwa ina vitu vyake fulani hivi ambavyo ukisimuliwa unajua moja kwa moja hii ni Nchi fulani... Mfano
Ukizungumzia Somalia unazungumzia Pirates (Mabaharia wezi), kazi yao kuteka na kuiba meli na vitu vilivyomo, au kuteka wafanya kazi na meli yao hili wadai malipo ya kuachilia mateka.
Ukizungumzia Nigeria, kwa haraka haraka unawaza Mziki wa Afropop, kutapeliwa, na movie za kichawi
Ukizungumzia Ethiopia kwa haraka haraka unawaza wahamiaji haramu.
Ukitaja Rwanda kwa haraka haraka unawazia pisi kali, yani watoto wazuri.
Ukitaja Uganda kwa haraka haraka, mtu anayekujia kichwani ni Yoweri Kaguta Museveni na Chameleone.
Ukitaja Tanzania, kwa haraka haraka watu wa nchi za kiafrika watakutajia Diamond Platnumz, wazungu watakutajia Serengeti na Kilimanjaro.
Ukitaja Congo kwa haraka haraka utazungumzia wakata viuno, mziki wa Boringo, na madini ya congo
Ukitaja Kenya kwa haraka haraka kwa sisi majirani unawaza Ukabila, wazungu watawaza mbuga za wanyama kama Maasai Mara
Ukitaja South Africa kwa miaka hii jambo linalokuja haraka haraka ni mziki wa Amapiano, labda kidogo utakumbuka kuhusu Xenophobia, pia majiji yenye kuvutia barani Afrika, wazungu wao watawaza kuhusu mbuga ya wanyama ya Kruger.
Ukitaja kuhusu Mpira wa miguu, watu watawaza nchi za Ivory Coast, Senegal na Cameroon.
Ukitaja kuhusu Vita basi wakulungwa kutoka Sudan watakuja haraka akilini.
Yani kwa kifupi kila Nchi barani Afrika ina Identity yake fulani hivi inayoitambulisha either kwa mazuri au mabaya.
Ongezea list ya Nchi za kiafrika na matukio yake....