Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Subutuuu unataka Msigwa akose perdiem huko CCM, unajua ili Msigwa aweze ku-survive LAZIMA amtaje Mbowe na CHADEMA, sasa unataka afe njaa?Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.
Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama vingine tuachane na CHADEMA tunayosema imepwaya au haina mvuto.
Tujadili chama gani kingine tunachoona ni bora na kina nguvu zaidi kuliko CHADEMA?