Big L
JF-Expert Member
- Nov 21, 2022
- 502
- 820
Finger clubbing..Huyu ni mgonjwa aende hospital kucheki afya yake, Figo na moyo inawezekana havipo sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Finger clubbing..Huyu ni mgonjwa aende hospital kucheki afya yake, Figo na moyo inawezekana havipo sawa.
Siku zote najua wewe ni mwanamkeš„²
Kila nikikuona kuna kitu nakumbuka naishia kuchekašUtakuja ingizwa mkenge kizembe kuruta...
Kila nikikuona kuna kitu nakumbuka naishia kuchekaš
Nilichokudokezea siku ilešš
kitu gani tena?
Naomba nisitie neno zaidi ya vidole vizuri š
HahahahahaNgoja nitafute aziz ki kwanza
HahahahahaNipo standby
Huuyu ni msemaji mstaafu
Naomba tuachwe na mambo yetu!!šššHuyo ako anamarinate vidole kwenye aluminium foil kama mbuzi inasubiri ingia kwenye oven ni wewe?
Wadada mna mambo sanaš
Basi tutie story šNaomba nisitie neno zaidi ya vidole vizuri š
Naomba tuachwe na mambo yetu!!ššš
DadekBICHWA KOMWE nimenoga mno
Cc: Confession Yohimbe bark Poor Brain Mzee wa kupambania fundi bishoo The Stress Challengerr Mufti kuku The Infinity
Ni mibaya kuzidi yako, I knoww šView attachment 3035677
Ntafika mbali sana na mimi sitaki kufika huko, sitaki kumpa mhaho shemeji yangu binti kiziwiBasi tutie story š
Dr Lizzy lazima wewe ni kipotabo kirefu hivi
we unavyoVidole kama msukumio wa chaparara