binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Marahaba shemeji, karibu nyumbani.Ni salamu tu shem hakuna kingine kati yangu na daktari.
Mahari inakuja nawaandaa wazee wa kubageini mahari wafike kutoka ugweno 😅.
Shikamoo shemeji.
Dr. Lizzy anakudanganya.