Finger clubbing..Huyu ni mgonjwa aende hospital kucheki afya yake, Figo na moyo inawezekana havipo sawa.
Siku zote najua wewe ni mwanamke๐ฅฒ
Kila nikikuona kuna kitu nakumbuka naishia kucheka๐Utakuja ingizwa mkenge kizembe kuruta...
Kila nikikuona kuna kitu nakumbuka naishia kucheka๐
Nilichokudokezea siku ile๐๐
kitu gani tena?
Naomba nisitie neno zaidi ya vidole vizuri ๐
HahahahahaNgoja nitafute aziz ki kwanza
HahahahahaNipo standby
Huuyu ni msemaji mstaafu
Naomba tuachwe na mambo yetu!!๐๐๐Huyo ako anamarinate vidole kwenye aluminium foil kama mbuzi inasubiri ingia kwenye oven ni wewe?
Wadada mna mambo sana๐
Basi tutie story ๐Naomba nisitie neno zaidi ya vidole vizuri ๐
Naomba tuachwe na mambo yetu!!๐๐๐
DadekBICHWA KOMWE nimenoga mno
Cc: Confession Yohimbe bark Poor Brain Mzee wa kupambania fundi bishoo The Stress Challengerr Mufti kuku The Infinity
Ni mibaya kuzidi yako, I knoww ๐View attachment 3035677
Ntafika mbali sana na mimi sitaki kufika huko, sitaki kumpa mhaho shemeji yangu binti kiziwiBasi tutie story ๐
Dr Lizzy lazima wewe ni kipotabo kirefu hivi
we unavyoVidole kama msukumio wa chaparara