binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Jul 8, 2024 #161 Half american said: Ni salamu tu shem hakuna kingine kati yangu na daktari. Mahari inakuja nawaandaa wazee wa kubageini mahari wafike kutoka ugweno 😅. Shikamoo shemeji. Click to expand... Marahaba shemeji, karibu nyumbani. Dr. Lizzy anakudanganya.
Half american said: Ni salamu tu shem hakuna kingine kati yangu na daktari. Mahari inakuja nawaandaa wazee wa kubageini mahari wafike kutoka ugweno 😅. Shikamoo shemeji. Click to expand... Marahaba shemeji, karibu nyumbani. Dr. Lizzy anakudanganya.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jul 8, 2024 #162 binti kiziwi said: Marahaba shemeji, karibu nyumbani. Dr. Lizzy anakudanganya. Click to expand... Nitakaribia shemeji yangu makini kabisa. Sidanganyiki ng'ooo
binti kiziwi said: Marahaba shemeji, karibu nyumbani. Dr. Lizzy anakudanganya. Click to expand... Nitakaribia shemeji yangu makini kabisa. Sidanganyiki ng'ooo
Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Jul 8, 2024 #163 mbona hii post kama imeletwa na shoga, huo mkono wa kwanza ni kama wa mwanaume anajisifia vidole vizuri. uchafu gani huu.
mbona hii post kama imeletwa na shoga, huo mkono wa kwanza ni kama wa mwanaume anajisifia vidole vizuri. uchafu gani huu.