Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Humu ndo utajua wabongo wote wachawi ingawa si wote wenye tunguli....anyways nikaushienj jamani,nina shida na hilo ten[emoji2]
 
Poa Mkuu ngoja tukuache uipate bn
emoji23.png
Duh
 
Haya bana
Niaje ng'ombe ya mabua..?[emoji23]
aagh..mambo gani tena aya yakufungiana rizki [emoji3525]
Yangu hii
Poa Mkuu ngoja tukuache uipate bn[emoji23]
Usiku mwema mkuu
Bora umemwambia[emoji2]
Humu ndo utajua wabongo wote wachawi ingawa si wote wenye tunguli....anyways nikaushienj jamani,nina shida na hilo ten[emoji2]
noma sana
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] hapo sasa
Vocha hii ni yangu tu...[emoji123][emoji123][emoji123]
Umezingua chief
Sema kamanda
Andika kitu. Usipoandika hupati vocha ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
Whati izi zisi?
Nini hiki?
Na nitaamka sana tena mwenye afya tele. In the name of Jesus Aamen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu dah [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Atuache tupambanie hii vocha ya elfu kumi. Yeye kinamuuma nini kwani?
Ngoma ikilala, kesho dau liongezwe liongezwe
Uzi naona unakua wa kujibiana.
Andika chochote mkuu
Nikiingia humu nacheka sana
Nilisema toka mwanzo watz wachawi sana
Hata kibwengo upo huku?
Rizki mafungu saba
Huipati hata kwa ndumba
Wacha we!
We bonyeza like
Mizimu ya jf Haina shida ,
[emoji1787][emoji1787] watu mna roho mbaya kha!
Hahahaaa kwahiyo mkuu umeamua kuniwangia siyo
[emoji23] Niljuwa tu!
Una roho mbaya sana wewe[emoji28][emoji28]
Mambo yasiwe mengi sana basi
Mtajua hamjui[emoji850]
 
Back
Top Bottom