lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
Hata kibwengo upo huku?Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kibwengo upo huku?Aisee
Nilisema toka mwanzo watz wachawi sanaKuzibiana rizki
Nikiingia humu nacheka sanaAisee
Andika chochote mkuu
Ngoma ikilala, kesho dau liongezwe liongezweMpaka sasa Naona mambo ni bila bila
Tukazane huenda bingwa akawepo Who know [emoji3][emoji3][emoji3]
Atuache tupambanie hii vocha ya elfu kumi. Yeye kinamuuma nini kwani?Mkuu siyo kwamba watu hawana hizo elfu kumi sometimes watu wana have fun tu siyo kila siku tunakutana na mada serious za kuumiza vichwa kuhusu siasa na mapenzi. Tuwaache watu warefresh tu binafsi nimefurahi sana kwa hizi comments. [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Why?Attention! Don't comment
Mkuu dah [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]KENZY nimejiita mwenyewe Sasa nione pimbi inareply komenti yangu! Atakaereply ajue yeye ni ng'ombe ya mabua..[emoji41]
Na nitaamka sana tena mwenye afya tele. In the name of Jesus Aamen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Atakaye comment kesho haamki..
Nini hiki?
Whati izi zisi?
Andika kitu. Usipoandika hupati vocha ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sema kamandaAisee!