Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Mkuu siyo kwamba watu hawana hizo elfu kumi sometimes watu wana have fun tu siyo kila siku tunakutana na mada serious za kuumiza vichwa kuhusu siasa na mapenzi. Tuwaache watu warefresh tu binafsi nimefurahi sana kwa hizi comments. [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atuache tupambanie hii vocha ya elfu kumi. Yeye kinamuuma nini kwani?
 
Back
Top Bottom