Brinna_Mercy
Senior Member
- Sep 11, 2020
- 179
- 456
[emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usijali mume wangu[emoji3]Ukini- QUOTE Basi wewe mke wangu
Happy birthday Da'Vinci[emoji512]
Hahahahahha jamanNimekutuma unikoti??[emoji34][emoji34]
Kwani uzi wa hbd hujauona? Wivu tuuu[emoji38]
Usijali mkuu... utatumiwa tu.Tuma kwangu hela hiyo
Dah! Mjomba inamana hukuona wengine wa kuwaquote kabisa?Usijali mkuu... utatumiwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] jina litatoka Nani?Hiyo hela tuma kwenye namba hiiView attachment 1814008
mke unakusudiusijali mume wangu[emoji3]
Mkuu umezingua kunikoti. Kwenye huu uzi maisha yako yatakuwa magumu sana kwa kila komenti yako utakayotoa😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] jina litatoka Nani?
Hapa hutoboi
Powa mkuu 😀😀😀Reply au like? Kutokuwa na reply mbona kawaida tu?
Anyway, ole wake mtu aje areply kwenye hii comment yangu wallahi kitaumana [emoji16]