Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

1 Samweli 25:3
[3]Na jina la mtu huyo aliitwa Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu.
Kumbeee,sasa huyu atakuwa Ni wa aina gani sijui majina yote anayo[emoji1751]
 
1 Samweli 25:3
[3]Na jina la mtu huyo aliitwa Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu.
Sawa baba mchungaji.vocha imepepea
Ubarikiwe hahahaa
 
Back
Top Bottom