Challenge ya 2011; matches na results

gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Tanganyika wanapata goli la kwanza...mfungaji Sajingwa dakika ya 63....................mungu ibariki Tanganyika
 
Nimekupata kaka. Ila kama Ngassa wanamkaba mande hiyo ni nafasi kwa wengine ambao wanakuwa na nafasi zaidi kutundika mabao. Ila naamini Boko ni mfungaji mzuri. Henry uzuri wake ni kiungo.
 
Woooooooooooooooooooooow! Goodnews! Sasa waweka ukuta zaidi na kushambulia kwa mahesabu.
 
Bokooo, fantastic attempt by boko, what a move
 
Combination ya boko na ngasa ni nzuri. Mpira wanacheza vizuri. Dk ya 72 sisi 1 wao bila
 
Bokooo, fantastic attempt by boko, what a move

Mmmh! watangazaji wamekuwa wengi humu punguzeni mbwembwe leteni habari chap-chap basi au ndio mambo ya midadi....:target:
 
pressure reducing alert: dk ya 81 sisi 1 wao 0
 
Combination ya boko na ngasa ni nzuri. Mpira wanacheza vizuri. Dk ya 72 sisi 1 wao bila

Na mimi nilitaka kusema hivyohivyo, Ngassa na Boko ni combination safi. Lakini je, Kili Stars imebadili mfumo au bado wanacheza vilevile. Mie nafikiri waweke mkazo kwenye ukuta zaidi na kushambulia kishkajishkaji tu. Dakika 20 hizi hako kamoja kanaweza kutusaidia kwenda mbele.
 
hali ya mchezo ikoje chokambayaa maana sasa mioyo inadunda maana hawa waTZ huwa hawaainiki. Goli linaweza kurudi dakika ya mwisho
 
jamani eeehe leten update basii bado tunaongoza au ndo hali mbaya mbona kimyaaa wajamenii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…